Miongoni mwa walio wengi upendelea kuvaa vazi hili kutokana na rangi yake kuonekana ni yakutuliza rangi Kali , na kufanya iyonekane vizuri machoni bila kuumiza macho .
Vazi lenye rangi nyeusi umuelezea mtu kwa namna yake kana kwamba mtu akivaa rangi nyeusi anajielezea kua Yeye ni mtu jasiri , mwenye kujitambua na yupo makini wakati wote.
Vazi lenye rangi nyeusi upendwa sana kuvaliwa sehemu za interview , night party au dinner , ata mchana pia endapo tu utaweza kuchanganya na rangi nyengine kidogo .
Kwa uhakika usio fikirika ni kwamba hautokua ukilitendea haki vazi hili endapo utalivaa mchana wakati wa jua Kali , au kipindi cha joto maana rangi nyeusi na vitu hivi aviakisi tena ukiwa umevaa full black yani juu mbaka chini.
UMREMBO MODELS WAKIWA WAMEVALIA VAZI JEUSI NA MCHANGANYIKO WA RANGI NYENGINe:
No comments:
Post a Comment