Wengi wetu tumezoea kuona viatu mbali mbali pasipo kujua aina ya viatu hivyo, hebu leo tutizame viatu hivi viitwavyo wedgese ,
Viatu hivi ni moja kati ya viatu pendwa sana na wadada kwasababu kuu moja , viatu hivi umfanya mtu awe na uwezo wa kuvitembelea tofauti na viatu vya mchuchumio au vimezoeleka kuitwa high heels ,
Pia viatu hivi navyo vimegawanyika katika miundo tofauti tofauti kama vile sniker wedges na boot wedges , hivi apa ni mfano wa snikers wedges pamoja na wedges .
SNIKER'S WEDGES NA WDGES ZENYEWE
No comments:
Post a Comment