Mnamo miaka ya 1940 mwana mashuhuri mkongwe katika maswala ya fashion nchini ufaransa aliyejulikana kama Christian dior aliweza kubuni muonekano huu wa skirt aina ya pencil , muonekano huu wa sketi ni wakipekee huweza kumpa mtu fursa ya kuchagua ni mahala gani anaweza kutoka na muonekano huu , iwe kwenye party , ofisini , hata casual pia inakua ni vizuri maana umfanya mtu kuonekana na na mvuto bomba pasipo kuchagua umbo la mtu maana mtu mwenye umbo la aina yeyote upendezwa nayo .
PENCIL SKIRT'S
No comments:
Post a Comment